Bank ya NMB Tanzania imeendelea Kuwa Moja ya Taasisi inayoajiri sana wataalamu mbalimbali wa Maswala ya Kifedha 2026. Ajira Yako leo tumekuletea Link ya Kupata Nafasi Mpya Zilizotangazwa na Bank ya NMB mwaka 2026.
Nafasi hizi za Kazi zitaombwa Kupitia Mfumo wa Maombi wa NMB Portal Online. Kama wewe ni mara yako ya Kwanza Basi Hakikisha Unajisajili (Kufungua Akaunti yako) kisha Jaza Taarifa zako uweze kuomba Kazi.
ANGALIA HAPA NAFASI ZOTE MPYA 2026