Kwa Wazazi na Walimu leo tumewaletea matokeo ya Wanafunzi wenu wa Kidato cha Nne Mtihani ambao ulifanyika na mikoa minne ikiwemo Tabora, Singida, Iringa na Dodoma Mwezi Mei Mwaka 2026.
Matokeo haya yanaleta ushindani kati ya wanafunzi na shule pia ambayo yanaweza kuchochea juhudi za walimu na wanafunzi wao kurekebisha makosa na kujiandaa kufanya vizuri mtihani utakao fuata kabla ya Mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari ya chini 2026.