Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili 12/06/2026

June 12, 2026

 Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili 12/06/2026

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili 12/06/2026

Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kupitia tovuti yake ya ajira imetangaza Majina ya Walioitwa kwenye Usaili. Tangazo hili limetangazwa leo Tarehe 12 June 2026. 

Taarifa Zote za Usaili kama Mambo yakuzingatia na Tarehe zimeelezwa kwenye kila PDF ya Wilaya Husika. Download Pdf kisha soma maelezo yote kwa makini kuona masharti ya jumla.

Download PDF kutoka kwenye orodha hapo chini.