Nafasi za Kazi Portanchor Solutions Limited

June 12, 2026

 Nafasi za Kazi Portanchor Solutions Limited

Nafasi za Kazi Portanchor Solutions Limited

Taasisi ya Portanchor Solutions imetangaza  nafasi za kazi kwa wataalamu wa HR & Administration Officer, Port/ICD Operations Officer, Documentation Officer, Declaration Officer na Accountant Assistant ikiwa ni lengo kuboresha huduma zao.

Maombi ya nafasi hizi za Kazi yatafanyika Kwa Njia ya Email. Mambo muhimu unapotuma Maombi yako kwa Njia ya Email ni Pamoja na;

1. Kucopy vizuri na kupaste email inayopokea Maombi yako ya kazi

2. Kujaza Subject line mfano "Application for the Position of Marketing Officer"

3. Compose email yako kwa kuanza na Salutation Safi na Kuweka maneno mazuri ya ombi la kazi na uzoefu wako

4. Contact details ni muhimu

5. Upload Documents zako ikiwezekana unganisha PDF Moja.

SOMA ZAIDI KUHUSU AJIRA HIZI MPYA HAPA