Nafasi 4 za Kazi Madereva Pangani Dc 2026

July 13, 2026

 Nafasi 4 za Kazi Madereva Pangani Dc 2026

Nafasi 4 za Kazi Madereva Pangani Dc 2026

Utumishi Kupitia Tovuti ya ajira.go.tz imetangaza Nafasi 4 za Kazi za Madereva Kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Pangani. Ajira hizi zitaombwa kwa kipindi cha Tarehe 10/07/2026 - 23/07/2026.

Qualifications

Kuajiriwa wenye cheti cha kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja E au C ya uendeshaji magari ambayo wamefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja (1) bila kusababisha ajali pamoja na vyeti vya mafunzo vilivyowapatia sifa ya kupata madaraja husika. Wawe wamehudhuria mafunzo ya msingi ya Uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha VETA au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

Namna ya Kutuma Maombi Ya Kazi

Waombaji wa Nafasi hizi za Kazi watatuma Maombi yao ya kazi kupitia Portal ya Ajira Utumishi wa Umma kupitia Link

portal.ajira.go.tz

Kupata Pdf ya Tangazo kwa Kiswahili, Bonyeza Hapa