Nafasi za Kazi Tangauwasa 2026
Nafasi za Kazi Tangauwasa 2026
Hizi hapa ni Nafasi za Kazi zilizotangazwa na Mamlaka ya Maji Jiji la Tanga (Tangauwasa), nafasi hizi zitaombwa kupitia mfumo wa Ajira Portal.
Maombi yote yatatumwa na Kupokelewa Kabla ya tarehe 30 June 2026 Kupita, fungua account yako sasa ya ajira portal na utume maombi mapema.
Barua yako inapaswa kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili au English na ielekezwe kwenye annuani hii
Secretary,
Presidents Office, Public Service Recruitment Secretariat,
P.O. Box 2320,
Mahakama Street, Tambukareli,
Dodoma.
Download Pdf hapa chini upate maelezo kamili.