Majina Waliochaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT 2026

Majina Waliochaguliwa Kujiunga na Mafunzo ya JKT 2026

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Nduku Mabele, anatoa wito kwa Vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita mwaka 2026, kutoka shule zote za Tanzania Bara na Visiwani kuhudhuria Mafunzo ya JKT Kundi la Lazima (Mujibu wa Sheria) kwa mwaka 2026.

​Sanjari na wito huo, JKT limewapangia Makambi watakayo kwenda kupatiwa Mafunzo na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 01 Juni hadi tarehe 07 Juni 2026.



Post a Comment

Previous Post Next Post