Kambi Walizopangiwa Form Six Mafunzo ya JKT 2026

May 29, 2026

Kambi Walizopangiwa Form Six Mafunzo ya JKT 2026

Hizi hapa ni Kambi Walizopangiwa Form Six Mafunzo ya JKT 2026

Vijana hao wameangwa katika Kambi za JKT zifuatazo;

 1. Rwamkoma JKT–Mara

 2. Msange JKT-Tabora

 3. Ruvu JKT na Kibiti JKT-Pwani

 4. Mpwapwa JKT na Makutupora JKT-Dodoma

 5. Mafinga JKT-Iringa

 6. Mlale JKT-Ruvuma

 7. Mgambo JKT na Maramba JKT-Tanga

 8. Makuyuni JKT na Oljoro JKT-Arusha

 9. Bulombora JKT, Kanembwa JKT na Mtabila JKT–Kigoma

 10. Itaka JKT-Songwe

 11. Luwa JKT na Milundikwa JKT–Rukwa

 12. Nachingwea JKT- Lindi

 13. Chuo cha Uongozi JKT (CUJKT) Kimbiji- Dar es Salaam.