TRC Nafasi Mpya za Kazi Shirika la Reli Tanzania 2026 zilizotangazwa Kupitia Mfumo wa Ajira Portal.
Jumla ya Nafasi 24 zitakazoombwa Katika kipindi cha Tarehe 28 August Mpaka 10 September 2026. Tuma maombi ya Kazi Kupitia Mfumo wa ajira Ajira Portal.