Nafasi za Kazi Zanzibar 2026

August 12, 2026

Watu wengi wanalalamika ya kuwa serikali ya mapinduzi ya zanzibar haitangazi nafasi za kazi kwa raia wa maeneo hayo lakini ukweli ni kwamba nafasi za kazi za serikali nyingi zinatangazwa na serikali ya mapinduzi ya zanzibar isipokuwa wengi hawajui ni wapi wanaweza wakapata taarifa hizi za matangazo ya kazi na kuweza kutuma maombi ya kuomba kazi kwa nafasi walizosomea sasa leo katika blogu yetu hii tutakuelezea ni namna gani unaweza ukapata matangazo ya kazi ili uweze kutuma maombi na kuweza kuajiriwa na serikali ya mapinduzi ya zanzibar.

Website rasmi inayotumika na serikali ya mapinduzi ya zanzibar kuweza kutuma matangazo mbalimbali ya kazi inaitwa zan ajira kwa hiyo kama wewe ni raia wa tanzania visiwani na unataka kuweza kutuma maombi kulingana na sifa zako kwa kile ambacho umekisomea basi hakikisha unatembelea tovuti ama website ya zan ajira ili kuweza kuangalia matangazo ya nafasi za kazi zilizotangazwa hivi karibuni na kutuma maombi kabla ya deadline.

Sasa katika kutafuta website yadhani ajira unaposearch kupitia google kuna website mbili za zania ajira moja ni ya kuweza kutoa matangazo kwa umma ambayo utaipata kwa u r l ya zanajira.go.tz lakini nyingine ile ambayo utatumia wewe kuweza kutuma maombi ile inaitwa portal.zan.ajira.go.tz hii sasa ndio ambao utatumia kuweza kuisajili na kutuma maombi yako ya kazi.


PATA MATANGAZO YA AJIRA MPYA HAPA