Kozi za Kusoma Mwanafunzi wa EGM

June 06, 2026

 Kozi za Kusoma Mwanafunzi wa EGM

Kozi za Kusoma Mwanafunzi wa EGM

Wanafunzi waliosoma Kombi ya Economics, Geography and Mathematics (EGM) wanajiuliza na Kozi gani wanaweza kusoma  chuo kikuu? Lakini leo Ajira Yako Tumekuletea Kozi za Kusoma kwa mwanafunzi aliyesoma Kombi ya EGM.

Hapa Chini ni Baadhi ya Kozi au Kazi ambazo mwanafunzi wa EGM anaweza kusoma na Kufanya

  • Ualimu, 
  • Uchumi, 
  • Uhasibu, 
  • Upimaji ardhi, 
  • Urubani, 
  • Usanifu majengo, 
  • Ukadiriaji majenzi, 
  • Ugavi, 
  • Mipango, 
  • Archeology, 
  • Uandishi wa Habari, 
  • Uhusiano (public relations), 
  • Rasilimaliwatu, 
  • Uthamini majengo na ardhi, 
  • Ukutubi, 
  • Utunzaji wa Kumbukumbu, 
  • Banking and Finance, 
  • Quantity Surveyor n.k