Regulation ni Mada ya Tano Kidato cha Tatu Katika somo la Biology Tanzania. Mada hii imekuwa Ikisifika sana kuwa watoto wanaenjoy sana na kulielewa somo wakati walimu wanapofundisha mada hii kwa motivation nzuri ya kuwaelewesha wanafunzi juu ya tabia ya kubalance hali zai za kimwili.
Soma Notes hizi Hapo chini uweze kujifunza zaidi.