Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Simiyu | Form Five Selecrion 2026/2027 Simiyu
Waliochaguliwa Kidato cha Tano 2026 Simiyu
Selection ya Kidato cha Tano 2026 kwa wanafunzi wa mkoa wa Simiyu inasubiriwa na wanafunzi wengi waliomaliza kidato cha nne. Orodha hiyo itaonyesha shule walizopangiwa kujiunga kwa masomo ya A-Level.
Wilaya za Simiyu ni:
- Bariadi
- Busega
- Itilima
- Maswa
- Meatu
Baadhi ya shule za kidato cha tano Simiyu ni:
- Bariadi Secondary School
- Dutwa Secondary School
- Mkula Secondary School
- Binza Secondary School
- Meatu Secondary School
Wanafunzi wanashauriwa kufuatilia selection mapema ili wajue shule walizopangiwa na kujiandaa kwa kuripoti.
Post a Comment