Waliochaguliwa Kidato cha Tano Morogoro 2026/2027
Waliochaguliwa Kidato cha Tano Morogoro 2026/2027
Selection za Kidato cha Tano 2026/2027 ni mchakato wa Kuwapangia Wanafunzi waliomaliza Necta 2025 Katika Shule za Advanced 2026 Kulingana na Performance zao. Mwanafunzi atachaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano kama atakuwa amebalance Vizuri Combination za masomo matatu.
Tamisemi ndio Taasisi ya Serikali inayotangaza Selection za Kidato cha Tano 2026/2027 pale zirakapokuwa tayari na kila mwanafunzi ataweza kutazama shule aliyochaguliwa kupitia mfumo wa selform.tamisemi.go.tz bure.
Wapi Selection za Kidato cha Tano 2026/2027 Zinapatikana?
Kupata Link ya Selection za Kidato cha Tano 2026 Tembelea Tovuti ya Selform Tamisemi kuangalia Uchaguzi wa Kidato cha Tano.
Nitaangaliaje Selection za Kidato cha Tano 2026/2027 Kupitia Selform Tamisemi
Ukifanikiwa kuingia kwenye link ya uchaguzi wa kidato cha Tano utaona neno "FIRST SELECTION2026" Bonyeza maneno hayo kupata list ya mikoa au Tumia jedwali chini ambalo utaweka index number yako na kusearch Selection ya Shule uliyopangiwa na Join Instractions.
Post a Comment