Bank ya Equity Tanzania imetangaza Nafasi za Kazi Zitakazoombwa Kabla ya Tarehe 22 Mei 2026 Kupita.
Nafasi za Kazi Equity Bank Tanzania
Benki hii imepanua huduma zake katika miji mbalimbali nchini ikiwemo Mwanza, Moshi, Mbeya, Dodoma, Zanzibar na Morogoro, na inahudumia wateja wa aina mbalimbali wakiwemo watu binafsi, wafanyabiashara wadogo na wa kati, pamoja na makampuni.
Huduma zake ni pamoja na akaunti za akiba na biashara, mikopo, pamoja na huduma za kutuma na kupokea fedha kimataifa. Pia imewekeza sana kwenye huduma za kidijitali kupitia simu na mifumo ya mtandao ili kurahisisha miamala kwa wateja wake.
Pia, benki hii imekuwa miongoni mwa taasisi zilizoongoza katika utoaji wa mikopo ya nyumba nchini, ikichangia kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa wananchi wengi zaidi.

Post a Comment