Nafasi za Kazi Chuo Kikuu cha Kcmc


 

Chuo cha KCMC Kilichopo Kilimanjaro Kimetangaza Nafasi Mbili Za Kazi ambazo ni INTERNAL AUDITOR GRADE III na RISK MANAGEMENT OFFICER Mwezi huu Mei 2026. Mwisho wa Kutuma Maombi Ni Tarehe 22 Mei 2026.

Chuo cha KCMC Kinawaalika Vijana/Waombaji Wenye Sifa Kutuma Maombi ya Nafasi hizi Mbili Mapema Kabla ya Deadline.

Bonyeza Nafasi Unayotaka Kuomba Hapa Chini Kusoma Zaidi (Duties, Qualification na How to Apply)


Post a Comment

Previous Post Next Post